Mwanzoni

Karibu Precious Present Truth Media Ministries.

Unakaribishwa katika huduma ya Precious Present Truth, kupitia mitandao na vyombo vya habari vya kisasa kama vile video katika intaneti na DVDs. Ni heshima kuu kwetu kukuleta jumbe hizi thabiti za leo za Biblia katika lugha za Kiingerezeza,Kiswahili, Kinyarwanda na Kifaransa.

Madhumuni yetu ni kukusaidia wewe nasi pia, kumfahamu Yesu Kristo zaidi ili sote tuweze kuwa tayari kumlaki mawinguni anapokuja mara ya pili, pia kuzifichua hila za shetani kupitia mafundisho potovu ya kidini siku hizi za mwisho wa kufungwa kwa historia ya ulimwegu.

Ambatana nasi kutangaza ukweli huu mkuu.Tembelea mtandao wetu wa intaneti ili kujua mengi. Mungu akubariki unapo tumia muda wako ku mfahamu Zaidi. Kama isemavyo Biblia katika Yohana 17:3 “Na huu ndio uzima wa milele wakujuwe wewe Mungu wa kweli na Yesu Kristo uliye mtuma


Muingiliano na Islam

Mapinduzi, Madikteta na Vita

Ujumbe wa malaika 3