Mashambulizi jumla

Mfululizo huu wa mashambulizi ya Jumla ukiwa katika video 36 unaelezea waziwazi vitabu vya Daniel na ufunuo mwanzo hadi mwisho. Mafundisho yake yanamhusu kila mutu ambaye anaishi duniani leo. Uzuri wake Yesu na Amri zake kumi unagongana na ufalme wa Shetani pamoja na mpango wake wa kudanganya wengi ume wekwa wazi bayana.Kile utakacho ona na kusikia ni ukweli hakika, unao ambatana na ushahidi usio pingika. Ukifunua uongo unao fundishwa kila mahali.

Ni Muhimu Mafundisho haya ya mashambulizi ya ujumla kumfikia kila mtu ili afahamu mambo yanayo jadiliwa sirini na yanayo funuliwa katika unabii wa Biblia ukizingatia matukio ya kutisha yanayo endelea kipindi hiki chetu cha mwisho wa historia ya ulimwengu.

Jipatie Mfululizo huu wa DVD 36 na hutasikitika kamwe. Zisikilize kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho, nawe utaangaziwa na nuru ya Mbinguni na utasalimisha maisha yako na wapedwa wako.

 

 

DVS hizi zimo katika mfululizo uitwao Mashambulizi ya Jumla:

 

1. Mtu mwengine 201 Mtu Mwengine
Katika DVD hii, thibitisho la Biblia kwamba kristo ni masihi inaelezwa. Unabii wa zamani inawekwa wazi, hasahasa ile ya Danieli 9 inayozungumzia majuma sabini inayotuambia bayana wakati wa kuja kwa kristo duniani. Kujifundisha unabii huu umelaaniwa na wasomi wa dini ilikwamba watu wa mjue kristo. Jifundishe ukweli jinsi ambavyo imetangazwa katika DVD hii kisha ufanye uamuzi.
5$
2. Mahali Yesu Alitembea 202 Mahali yesu Alitembea
DVD hii ni safari kupitia nchi ya palestina ikifuata mapito ya bwana wetu ikitaja mafundisho yake makuu, kama vile hotuba yake mlimani, fumbo moja kuu. Maisha na huduma ya kristo, kuzaliwa kwake, na kifo chake msalabani inaonyeshwa kwa namna ya kisasa naya kusisimua. Utafurahia fundisho hili kuhusu maisha ya kristo
$2.5
3. Mtetezi 203 Mtetezi kwa wakati wetu
Hekalu ni moja mifano mikuu katika biblia. Kila kitu ndani ya hekalu ilimlenga kristo. Mpango mzima wa wokovu unafunuliwa wazi ukichunguza sifa zake . katika hotuba hii, umuhimu ya kila chombo katika hekalu inaelezwa na maana zao za ndani. Hekalu haikuwepo kiajali tuu. Ni kitabucha kujifundishia kwa vizazi vyote .
$2.5
4. Ukungu wa wakati 204 Ukungu wa wakati
Katika Danieli sura ya pili, mfalme nebukadineza anaota ndoto naye alitazama sanamu kubwa ambayo historia ya dunia hadi mwisho wa wakati ilifunuliwa. Maelezo ya kushangaza yanatuambia mahali tulipo katika mkondo wa wakati na matukio gani yanayokwenda kutukia ulimwenguni. Maono haya yanaelezwa kwa kina na historia inathibitisha uhakika wake.
$2.5
5 Mtu wa siri 205 Mtu wa siri
Biblia peke yake ndiyo yafaa kutumiwa kumgundua mpinga Kristo. Pembe ndogo katika Danieli inamlenga yeye tu anayefaa kuwa mpinga kristo kutokana na sifa zake saba. Uongo wa kisasa kuhusu pembe ndogo kama vile fundisho la kipreteristi (preterism) (fundisho kwamba mpinga Kristo alikuwepo katika zama za kale) na ile ya kifuturisti (futurism) (kwamba mpinga kristo atakuja siku za usoni) zinalinganishwa na ukweli wa biblia. Neno la mungu ni kali kuliko upanga ukatao kuwili inayokata hadi mfupani.
$2.5
6. Ufunuo wa Yesu Kristo 206 Ufunuo wa Yesu kristo
Hotuba hii inatanguliza kitabu cha ufunuo na mwandishi wake. ni mjadala wa fungu baada ya fungu ya sura ya kwanza ya ufunuo. Ikiweka wazi uungu wa kristo, jinsi ya kutafsili na vita vikuu kati ya wema na uovu. Inatuchukua katika tamaduni za zamani hadi za kisasa ikionyesha uasi didhi ya kweli ikipata nafasi katika zama hizi.
$2.5
7. Makanisa saba 207 Makanisa Saba
Ni uchambuzi wa kiunabii wa makanisa saba ya ufunuo 2 na 3. Katika DVD hii historia yote ya kanisa la kikristo, kuanzia siku za yesu kupitia wakati wa anguko la kiroho na uasi, wakati wa kulegeza msimamo hadi wakati wa mrejesho wa injili. Sura hizi zinaweka wazi mapambano makuu kati ya Kristo na Shetani
$2.5
8.  Mihuri saba 208 Mihuri Saba
Huu ni uchamabuzi wa ufunuo 4 na 7 ikionyesha wazi vita juu ya injili. Ni kisa kikuu cha vita kati ya nuru na giza ambayo inafikia kilele chake katika mashambulizi ya mwisho didhi ya wokovu wa kristo yesu. Inatuambia kwamba kutakuwepo na watu watakao simama imara nao hawatakubali kulegeza msimamo.
$2.5
9. Baragumu zinapolia 209 Baragumu Zinapolia
Baragumu imekuwa mojawapo wa maswali tata kwa wanatheologia. Katika fundisho hili, tafsiri mbalimbali zinalinganishwa na uchambuzi wa biblia sawasawa na muundo wa kitabu cha ufunuo na ushahidi zaidi kuhusu somo hili. Baragumu katika biblia inatagaza hukumu na ndio sababu tunatafuta maana za baragumu hizi kwa muktadha wa ufunuo.
$2.5
10. mnyama kutoka shimo la kuzimu 210 Mnyama kutoka shimo la kuzimu
Katika sura ya 11 ya ufunuo mnyama kutoka shimo la kuzimu anatajwa naye anajaribu kuongeza mifumo na nyendo mpya katika injili ya uongo inayotoka katika shimo la kuzimu ikihatarisha nuru duniani. Mtazamo wa kina katika mapinduzi ya ufaransa na falsafa yake na jinsi itakavyopelekea kuwepo kwa mfumo mpya duniani inafanywa. DVD hii inaweka wazi Nyanja mbalimbali za ufalme huu wa giza ambayo shetani anajaribu kuusimamisha na jinsi ambavyo itakavyoathiri maisha ya hao waishio sasa. DVD hii ni msingi kwa kuelewa matukio ya sasa.
$2.5
11Siri kuhusu 211 Siri kuhusu vikundi vya siri
Mengi yameandikwa kuhusu vikundi vya siri na uvumi mwingi kuhusu nguvu inayoyadhibiti. Asili ya usiri ni kwamba mamlaka hasa nyuma ya nguvu hizi lazima ibakie siri. Katika hotuba hii, ushahidi bayana inatolewa kuonyesha ninani anayesimama nyuma ya kiti cha enzi cha uwezo duniani.
$2.5
12Agenda fiche 212 Mipango ya Siri
Inafichua falsafa ya vikundi vya siri. Inadhibitisha bayana kutoka katika vianzo bora kwamba mungu anayeabudiwa katika madhabahu ya siri sio Mungu wa biblia. Jifundishe kuhusu ushahidi huu mwenyewe na udhibitishe kama kweli mambo haya ni jinsi yalivyo.
$2.5
13. Intambara za bibiliya 213 Vita vya biblia
Kupigana kwetu sio dhidi ya damu na nyama. Majeshi ya kiroho yangependa kumwibia mwanadamu chanzo pekee cha msukumo ikionyesha njia ya kufikia wokovu. Katika vita vya biblia ushahidi mzito unatolewa jinsi ambavyo adui anafanyakazi kwa usiri kutengeneza hatua za mashambulizi yake ya mwisho kwa neno la Mungu. Historia kuhusu waliopanga njama hii ya kulibadilisha neno la Mungu ili iambatane na falsafa yao ya kimashetani yanawekwa wazi.
$2.5
14. Kulibadilisha neno 214 Kulibadilisha neno
Katika filamu hii inaonyeshwa jinsi ambavyo biblia imebadilishwa kupitia matoleo mapya ikiwa na lengo la kumnyanganya kristo ukuu wake. Hebu tazama na ukaone kama ni kweli.
$2.5
15.Mapinduzi Madikteta na Vita 215 Mapinduzi Madikteta na Vita
Mapinduzi madikteta na vita vinahitaji kufadhiliwa na kuungwa mkono ili zifanikiwe. Je ninani aliyenyuma ya moto huu ambayo umewahangaisha wanadamu hasa katika karne iliyopita.? Je nguvu hizi za giza zinafanya kazi kisiri ilikufikia lengo lao la makubaliano ya kifilosofia ya kimachafuko (Hegelian philosophy) ili kuleta mfumo mpya wa mambo duniani? Yaliyojadiliwa ni baadhi ya mapinduzi ya karne iliyopita, ikiishia katika kuinuka kwa USA, kuuawa kwa kennedy, na kuweka mfumo mpya duniani.
$2.5
16. Muingiliyano na Islam 216 Uwingiliano na Uislamu
Mada hii imekuwa fumbo kwa wachanganuzi wengi. Je uislamu inauingiliano upi na pambano hili la kimataifa. Je ni pambano la kisiasa, kidini ya mchanganyiko wa dini na siasa? Mwanzo wake ni upi na lengo lake nini? Je inaathiri vipi muungano wa makanisa na fundisho la wokovu katika kristo? Gundua hayo kutoka katika filamu hii. Mstari wazi huchorwa kihistoria, ukweli unashangaza kuliko dhana tuu.
$2.5
17 Kosa kuu 217 Uhalifu wa Vizazi Vyote
Katika filamu hii kazi za kisiri ya mpinga kristo yanabainishwa- jinsi anvyojiketisha katika hekalu la Mungu akidai kwamba yeye ni Mungu na eti anazo nguvu kumzidi aliye juu, akidai kwamba anao uwezo wa kubadilisha amri ya Kristo. Maana ya mabadiliko ambapo dunia nzima inapotoshwa yamewekwa wazi. Mara nyingine tena, biblia na biblia pekee yake ndio yafaa kutumiwa kuziweka wazi kazi zake.
$2.5
18  Wa Nyama Wa Wili Wamekuwa Marafiki 218 Wanyama Wawili Wamekuwa Marafiki
Fundisho hili limetoka katika kitabu cha Ufunuo sura ya 13 inaeleza jinsi mnyama wa bahari na mnyama wa ardhi kuwa marafiki, kilele katika mfumo mpya wa ibada ambayo heshima mnyama wa kwanza.
Kutoa ushahidi wazi juu ya utambulisho na malengo ya nguvu hizi kisiasa, mada hii ni pamoja na kuangalia United States katika unabii wa Biblia na umuhimu wa Kanisa na hali kujitenga.
$2.5
30 Onyo la mwisho kwa ulimwengui 219 Mvinyo wa Babiloni
Bibilia inazungumzia babiloni ya siku za mwisho itakayoipotosha dunia. Mafundisho ya mamlaka haya ya siku za mwisho yanapatikana katika babiloni ya zamani. Katika filamu hii, dini ya zamani ya babiloni na mwanzo wake yanafuatiliwa kupitia nyakati za historia hadi kwa wakati wetu huu. Inabainishwa wazi jinsi ambavyo dini ya kale ipo hai katika mifumo za kidini za wakati wetu, ikijivika mavazi yanaifanya kufijificha kutokana na watazamaji wa kawaida.
$2.5
20. Mwanamke Aliyemkalia mnyama 220 Mwanamke Aliyemkalia mnyama
Filamu hii ni uchambuzi wa ufunuo 17 inayoeleza mwanamke anayedhibiti muungano wa nguvu. Mwanamke anazosifa za dini ya siri ya babiloni, nayo inawashawishi dunia kufuata amri yake. Uchambuzi wa kina inawakilishwa ikilinganisha mtazamo wa jumla kuhusu sura hii na ukweli wa siku za leo. Sura hii inatayarisha kwa matukio ya mwisho katika pambano kati ya wema na uovu.
$2.5
21.Mfumo mpya wa Dunia 221 Mfumo mpya wa Dunia
Katika DVD hii kuinuka kwa mfumo mpya duniani inajadiliwa, na athari zake kisiasa kiuchumi na katika jamii. Njama hii inayotaka kushurutisha namna ya kuwaza kwa binadamu inawekwa wazi. Matukio yanayopelekea kuwepo kwa mambo haya kama vile ugaidi, vita dhidi ya kile wanachokiita “muungano mwovu” inajadiliwa na jinsi mambo haya yata adhiri maisha yako binafsi.
$2.5
22 Himaya ya kiroho ya kifo 222 Hali ya kiroho ya ulimwengu wa kifo
Je wafu huenda wapi? Je bibilia inafundisha nini kuhusu jambo hili? Je kuzimu ipo? Mbingu ya saba? Maisha baada ya kufa? Kuzaliwa tena baada ya kufa? Roho za waliokufa? Je biblia inazungumzia umizimu? Gundua ukweli kuhusu mafundisho ya kweli ya biblia kwa mada hii tata.
$2.5
23 Agenda za kisasa 223 Agenda za miamko za Kisasa
DVD hii inaeleza njia ambazo vikundi tofauti vinavyojiita vyama vya kikristo wanaendesha matukio ya kiroho ilikutayarisha njia ya kuja kwa kristo wa kimataifa anayekidhi haja za dini zote. Vuguvugu la Christian science, umormon, wajehovah witnesses, na wana new age wanawekwa wazi. Hapa pia matreya anachunguzwa na mafundisho yake yaliyo kinyume na biblia na kuonekana kwa kristo wa uongo katika dunia ya sasa. Je new age inaathiri maisha ya kimizimu tuu au pia maisha ya kawaida katika mifumo ya elimu ya dunia, ikichangiza tena na kubadilisha mitazamo ya ukristo wa kale
$2.5
24 Ili wote wawe wamoja 224 Ili wote wawe wamoja/strong>
Katika zama ya kuvumiliana kidini na muungano , uhasama wa zamani unazikwa. Makanisa yanaungana yaliyokuwa yametenganishwa na maswala ya mafundisho. Je maendeleo haya yana msingi wowote kimaandiko au ni kanuni za kibinadamu. Je kweli inatolewa kafara kwa sababu ya umoja? Je tunaingia katika kipindi cha amani ambayo biblia inatuonya? DVD hii inatazama pia falsafa ya wahubiri wakuu kama vile Robert schuller na wengine
$2.5
25. Moto Mgeni 225 Moto wa ajabu
Moto wa ajabu inazungumzia miujiza yanayopatikana katika ibada za sasa za kikristo.mwanzo na mbinu za makanisa haya makubwa na mwanzo wao wa haja inajadiliwa na kuwekwa wazi. Je chanzo cha msukumo wao ni upi? Je ni kwa mtungi upi wanapochota maji yao? Je wahubiri wakubwa kama vile schuller, hybels, Rick warren, Copeland, Hinn etc. wanakwenda wapi na falsafa zao? Katika Video hii utagundua kuwa theologia ya kisasa imebadilika kutoka kwa mtazamo wa mungu hadi kwa mtazamo wa kibinadamu, kutoka kwa wokovu kwa imani na ujumbe wa upatanisho, kwa injili ya kijamii.
$2.5
26 Umoja wa mataifa na agenda za mashetani 226 Umoja wa mataifa na agenda za mashetani
Je umoja wa mataifa ina agenda ya kisiasa tuu ? au ina mtazamo wa kidini katika kazi zake? Katika Video hii agenda zake ficho yanawekwa wazi. Kuanzia wakati ilipoanzishwa, lengo lake kuu limekuwa kuunda mfumo mmoja wa kisiasa na wakidini iliyo na athari kwa kila mtu katika ulimwengu na matokeo ya kudhuri kwa wale ambao tumaini lao ni kwa wokovu wa Kristo pekee yake.
$2.5
27 Vita vya wakuu 227 Vita vya Wakuu
Pambano kuu kati ya Kristo na Shetani katika vizazi vyote jinsi ilivyo elezwa katika ufunuo 12 inatolewa. Chuki aliyonayo Lusifa dhidi ya mwana wa mungu na hao watoto wanao kubali kuongozwa naye imepelekea kuwa na umwagikaji mkubwa wa damu, uchungu na mateso katika sayari hii isiyoweza kufirika. Mateso ya wale wote waliyo iamini Biblia katika zama zaziga na migogoro ya mwisho itakayokuja juu ya dunia yanaonyeshwa katika video hii.
$2.5
28. Jiwe la Kupumzishia Kichwa Chako 228 Jiwe la Kupumzishia Kichwa Chako
Ni fundisho la ufunuo sura ya 10 inayo onyesha kinyume ya mnyama ambaye anazuka kutoka katika shimo la kuzimu (ufalme wa giza). Inaweka wazi shirika ambalo mungu analiinua ili kusimama didhi ya makosa mengi ambayo shetani ameyaweka ulimwenguni kumnyang’anya mwanadamu wokovu. Shiriki limetiwa nguvu na ujumbe maalum ya kuonya nalo linazuka wakati mwafaka katika unabii wa biblia kutangaza injili ya milele ya wokovu katika kristo na kuwa waminifu katika neno lake.
$2.5
29. Karama Ya Mungu Iongozayo 229 Karama ya Mungu Iongozayo
Moja ya sifa ya kutofautisha shirika litakalo kabiliana na ufalme wa shetani jinsi ambavyo imeelezwa katika ufunuo 12 na 14 ni kwamba wana ushuhuda wa yesu iliyoelezwa kama roho ya unabii. Je mungu anazungumza na mwanadamu wa sasa? Kati ya manabii wengi wanaodai kuwa wanao ujumbe kutoka kwa mungu , je tunayo sauti kutoka katika kiti cha rehema? Je wawezaje kutambua nabii wa kweli? Je biblia inatuonyesha nini kuhusu mada hii?
$2.5
30 Onyo la mwisho kwa ulimwengui 230 Onyo la mwisho kwa ulimwengu
Ni fundisho la ufunuo 14, ikiwa ni onyo la mwisho kwa ulimwengu. Ujumbe wa malaika watatu ilivyoelezwa wazi kama inayokabiliana na ufalme inayowekwa na wakuu wa kidini na kisiasa wa wakati wetu. Hili ni onyo kuu kuwahi kuwepo na inaishia katika kurudi mara ya pili kwa kristo. Kila mmoja anapashwa kujua kilichoko katika ujumbe huu.
$2.5
31 Kilio Kikuu 231 Kilio Kikuu
Kilio kikuu ni fundisho la ufunuo 18. Inazungumzia matukio ya siku za mwisho kabisa ambayo mungu anaeleza jinsi uharibifu wa nguvu hizi zilizo tawala matukio za kisasa ulimwenguni. Tunatazama ulimwengu wa muziki, uchumi, dini, burudani, na tunagundia zote zinakubaliana. Katika hotuba hii, agenda zao ficho zinawekwa wazi. Kilio kikuu ni kilele cha onyo hili kwa ulimwengu na inafuatiliwa na kuingiliwa kati kwa mungu kwa mambo ya wanadamu.
$2.5
32 1844 na mashambulizi jumla 232 Mwaka wa 1844 na mashambulizi jumla
Filamu hii inazungumzia kumalizika kwa unabii wa siku 2300 wa danieli 8 na 9. Inaonyesha kwamba uhasama ule ule uliyomalizikia kwa kumsulubisha kristo utaonekana tena katika kufunga historia ya dunia. Katika mapito ya vikundi vya siri na mafikara ya wana new age, kuna mwamko wa kuwaharibu wale wanaoamini katika wokovu wa kristo yesu pekee na uhalali wa neno lake. Ushahidi unaonyeshwa wa mipango yao kuondolea mbali wale ambao wanaisimamia kweli na haki.
$2.5
33 Ishara na miujiza 233 Ishara na Maajabu
Biblia inatuonya kuhusu ishara na maajabu yatakayofanywa katika siku za mwisho kuwadanganya hata ikiwezekana wale wateule. Matukio makuu ya wakati wetu jinsi yalivyofanyika kupitia wana new age yanaonyeshwa katika filamu hii. Mafundisho ya mwonekano yanalinganishwa na yale ya biblia. Mitazamo miwili ya mpambano kati ya nguvu pinzani za siku za mwisho kama yalivyo katika kitabu cha ufunuo yanalinganishwa. Je haya yanatupeleka wapi Na mada kuu ni ipi?
$2.5
34 Historia Kufikia Kilele 234 Historia Kufikia Kilele
Kurudi kwa kristo mara ya pili kumetabiriwa katika biblia na kwa karne nyingi watu wamesubiri tukio hili kubwa. Je biblia inasema nini kuhusu fundisho hili kinyume na mafundisho mengi katika ulimwengu wa leo. Je kuna unyakuzi wa siri? Je ni nini kitawatokea wafu kristo anaporudi? Maswali haya na mengine mengi yanajibiwa katika fundisho hili. Kuingilia kati huku kwa mungu kwa maswala ya binadamu inahalalisha wale waliosimamia kweli na haki yake.
$2.5
35 Milenia inayosubiriwa kwa hamu 235 Millennia iliyo subiriwa sana
Dunia inasubiri millennia ya amani ambapo kristo atausimamisha ufalme wake na uovu wote utakoma. Je tutakaribisha millennia lini? Je biblia inafundisha nini kuhusu millennia ambapo watakatifu watahukumu ulimwengu? Je hii inalinganishwaje na fundisho kwamba dunia nzima itaongoka na kubadilika? Haya ndiyo mambo yanayobainishwa hapa. Tunapewa mtazamo mdogo wa dunia mpya na ufalme wa kristo. Hakutakuwepo na kifo wala uchungu wala mateso.
$2.5
36 Mwaliko Mkuu 236 Mwaliko Mkuu
Mwaliko mkuu ni kusalimu yote na kumfuata kristo. Yesu aliamuru wanafunzi wake kuhubiri injili na kuwabatiza walioamini kwa jina la baba, mwana, na roho mtakatifu. Je alikuwa akizungumzia ubatizo wa watoto au watu wazima? Je kuna kubatizwa kwa moja kwa moja, kunyunyiziwa maji, kumwagiwa maji, kuzamishwa au haijalishi? Je bibilia inalofundisho gani kuhusu swala hili tata- kusherehekea kufufuka kwa kristo.
$2.5

 

error: Content is protected !!