Walter J. Veith

Walter J. Veith

Walter J. Veith

Profesa Walter J Veith amesafiri sana katika bara la America ya kaskazini na ulimwenguni kote akitoa hotuba katika semina za amazing discoveries mbele ya hadhara kubwa zilizojawa na msisimko.

Ujumbe anaoufundisha inatokana na utafiti wake wa kina katika Nyanja ya mageuzi na uumbaji, afya na milo na unabii wa biblia. Profesa veith amehutubu kuhusu matokeo ya utafiti wake kimaitafa na kuandika vitabu vingi na filamu zake kuuzwa ulimwenguni kote.

 

DVDs za Walter J. Veith`s

error: Content is protected !!