Ivor Myers

Ivor Myers

Ivor Myers

Katika mwaka wa 1995 ivor meyers alikuwa miongoni mwa kikundi cha hip hop cha watu wanne waliosaini kurekodi na EMI.

Katika mwaka huo ivor meyers alikutana na neno la Mungu. Aliihama taaluma hiyo na sasa anamtumikia bwana yesu kristo.

Kwa sasa yeye ni mchungaji wa kanisa la wadventista wasabato la templeton hill lililo kule templeton California anapoishi yeye na wanawe wanne.

 

DVDs za Ivor Myers

error: Content is protected !!