Michango ya Kifedha

Ikiwa ungependa kusaidia kusambaza ujumbe wa malaika wa tatu katika bara la afrika na zaidi, tafadhali zingatia kutoa mchango wako kwa Precious Present Truth ilituweze kuendeleza kazi hii kuu.

Ikiwa upo Rwanda, Tanzania, Kenya, Burundi, Congo, Uganda unaweza kutumia MTN mobile money kupitia 0787011189 au utupigie katika nambari hiohiyo. Ikiwa upo nje ya inshi ambazo tume andika juu, basi changia kama ilivyo hapa chini.

error: Content is protected !!