shuhuda ya kanisa

Shuhuda Kwa Kanisa

 

Nilichukua Biblia ya thamani, na kuizingira kwa “Shuhuda kadhaa kwa ajili ya Kanisa,” zilizotolewa kwa ajili ya watu wa Mungu ili kusahihisha tabia zao. na  “Hapa,” nilisema na kuona kwamba, “karibu kesi za watu wote zinawakilishwa na maonyo haya waliyopewa watu hawa. Dhambi wanazopaswa kuepuka zimeonyeshwa. Shauri ambalo wangetamani linaweza kupatikana kuhusiana na jambo fulani la maisha yao, lipo hapa  kwenye hizi shuhuda, limetolewa tayari,  kwani kuna kesi zingine zinazofanana na zao wenyewe kabisa, na ambazo zitatatua tatizo lao wakifuata ushauri wake.

Geetunge

Soma
Shuhuda ya kanisa sura 2

sikiliza